Seventh-Day Adventist Church

MALANGALI SDA CHURCH Kanisa sahihi kwa malezi ya kiroho

Menu
Add a Slideshow to see your custom images here





Mpendwa mtembeleaji wa tovuti yetu ya Kanisa la Malangali, tunapenda kukushukuru kwa kuchukua muda wako kuitembelea tovuti hii. Tovuti hii inayoendeshwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato Malangali lililo katika mtaa wa majaribio wa Malangali mkoani Mbeya na katika Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania, imekusudia kukupatia wewe msomaji wetu, taarifa, maarifa na habari motomoto za kukuimarisha kiroho, kijamii, kimwili, na kiakili. Karibu ushirikiane nasi nawe hutajuta kututembelea. Asante na Karibu Tena. Ni mimi mtumishi wako Mchugaji Msafiri Charles Alele.